Taarifa kutoka Wizara ya Afya, Maendeleo ya jamii, Jinsia, Wazee na Watoto kuhusu ugonjwa wa Chikungunya. Tembelea hapa kwa taarifa zaidi.
From 15 August 2015 through 7 January 2018, 33 421 cases including 542 deaths (case fatality rate = 1.62%) have been reported across all 26 regions of the United Republic of Tanzania (Tanzania mainland and Zanzibar). Tanzania mainland has reported 86% of the total cases in this outbreak. Children under five years old accounted for…
Updated October 2017 Key facts: Marburg virus disease (MVD), formerly known as Marburg haemorrhagic fever, is a severe, often fatal illness in humans. Rousettusaegyptiacus, fruit bats of the Pteropodidae family, are considered to be natural hosts of Marburg virus. The Marburg virus is transmitted to people from fruit bats and spreads among humans through human-to-human…
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WIZARA YA AFYA, MAENDELEO YA JAMII, JINSIA, WAZEE NA WATOTO TAARIFA KWA UMMA TAHADHARI YA UGONJWA WA MARBURG Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto imepokea taarifa kutoka Shirika la Afya Duniani (WHO), mnamo tarehe 19 Oktoba 2017 kuhusu ugonjwa wa Marburg ambao umejitokeza katika nchi jirani…
Kwa ufupi Ugonjwa huu unafahamika ulimwenguni kwa kuua watu wengi na kwa haraka kutokana na kirusi kinachosababisha ugonjwa huu kinachofahamika kama ebola (ebora virus). By Muyonga Jumanne ( http://www.mwananchi.co.tz/Makala/MAONI-YA-MHARIRI–Tujitahidi-kupambana-na-ebola-/1597592-3963574-lw397tz/index.html ) Mlipuko wa ugonjwa wa ebola umekuwa ukiripotiwa miaka ya karibuni katika nchi ambazo Tanzania inapakana nazo, jambo ambalo limekuwa likizua hofu kwa wananchi. Ugonjwa huu…